Bambo ana kichocho - Bambo has Bilharzia (Swahili version)

World Health Organization (WHO) (2015) C_WHO
Nini watoto wanapaswa kujua kuhusu kichocho? SHUKRANI: Maelezo haya yamewezekana kupitia msaada wa fedha kutoka kwa Merck KGaA, Ujerumani. katika mwaka 2007, Merck KGaA ilingia katika ushirikiano na Shirika la Afya Duniani (WHO) kupambana na kichocho kwa watoto wa shule katika bara la Afrika.Merck ina changia vidonge milioni 200 vyaa Cesol 600 zenye kiambatano imara cha praziquantel. Merk itaendeleza juhudi yake hadi hapo maradhi yatakapotokomezwa kabisa Africa.