Video: Cervical Cancer/SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI - UCHUNGUZI NA NJIA ZA MATIBABU

Medical Aid Films, (2014)

This film is the first of three in our cervical cancer series. Please see the other two below. With thanks to BBC Africa for dubbing. Medical Aid Films imetengeneza filamu hii kuelezea mabadiliko ya chembechembe wakati wa dalili za awali za saratani na saratani ya mlango wa kizazi inavyotokea. Pia itaelezea unachopaswa kufanya kujilinda dhidi ya ugonjwa huu kwa kufanya maamuzi sahihi ya kiafya, kuhudhuria vipimo vya saratani na umuhimu wa kupata matibabu. Second part: http://medicalaidfilms.org/our-films/swahili-language-films/?v=95873128 Third part: http://medicalaidfilms.org/our-films/swahili-language-films/?v=95873129


Look inside:
2940